SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label KIKAO CHA KUMJADILI MZEE KIHAKA ANAYETUHUMIWA KUBAKA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 12 CHAVURUGIKA. Show all posts
Showing posts with label KIKAO CHA KUMJADILI MZEE KIHAKA ANAYETUHUMIWA KUBAKA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 12 CHAVURUGIKA. Show all posts

Monday, January 16, 2012

KIKAO CHA KUMJADILI MZEE KIHAKA ANAYETUHUMIWA KUBAKA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 12 CHAVURUGIKA!!!

Kikongwe huyu Asangwile Kihaka miaka 78 ndiye anayetuhumiwa kubaka mwanafunzi wa miaka 12 anayesoma shule ya msingi mbata jijini mbeya.
WAKAZI HAO WATAKA MZEE HUYO ASIKANYAGE TENA KWENYE KATA ZAO ZA GHANA NA MBATA
Huyu ni mzazi wa binti aliyebakwa na mzee Asangwile Kihaka mzazi huyu wa binti aligoma kabisa kusogea kwenye mkutano huo cha wakazi wa ghana
Diwani wa Kata Ghana Bwana Anjelo Chavaligino akijitetea kwa wakazi wake sabababu ya kutofika katika kikao cha kwanza cha kumjadili mzee Kihaka
Mtendaji wa kata ya Ghana akishindwa kujibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na wananchi kuwa kwanini alitoa barua ya kwenda kumwekea mdhamana anayedaiwa kubaka mtoto