Baada kuchukuliwa na Ms Loven anayemiliki kituo cha Watoto yatima nchini Nigeria (African Children’s Aid Education and Development Foundation), na baada ya taarifa hiyo kusambaa kwenye mitandao Ms Loven alipokea mchango wa dola Milioni moja kutoka nchi mbalimbali duniani, hivi sasa mtoto huyo afya yake imeimarika na amepewa jina la HOPE.
CHANZO HIKI HAPA
0 comments:
Post a Comment