Mwenyekiti
wa Chama cha Mchezo wa Chess Tanzania (TCA) Bw. Geofrey Mwanyika
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya
Ubingwa wa Afrika, Kanda ya 4.2 ya Mchezo huo jana jijini Dar es Salaam.
Kanda ya 4.2 inahusisha Timu kutoka nchi za Misri, Ethiopia, Eritria,
Sudan, Sudani Kusini, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia,Djibouti
na wenyeji Tanzania.
Rais
wa Chama cha Mchezo wa Chess Malawi, ambaye pia ni ni Mbunge mstaafu wa
wa Bunge La nchi hiyo Mhe. Kezzie Msukwa akizungumza namna Mhcezo huo
Mchezo huo ulivyopiga hatua nchini Tanzania ukilinganisha na kwao jana
jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Ubingwa wa
Afrika, Kanda ya 4.2 ya Mchezo huo jana jijini Dar es Salaam. Kanda ya
4.2 inahusisha Timu kutoka nchi za Misri, Ethiopia, Eritria, Sudan,
Sudani Kusini, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia,Djibouti na
wenyeji Tanzania. Mbunge huyo wa zamani wa Malawi yupo nchini kama
Mwamuzi katika mashindano hayo.
Mwenyekiti
wa Mfuko wa mchezo wa Chess Tanzania (TCF) Bw. Vinay Choudary
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya
Ubingwa wa Afrika, Kanda ya 4.2 ya mchezo huo jana jijini Dar es Salaam.
Kanda ya 4.2 inahusisha nTimu kutoka nchi za Misri, Ethiopia, Eritria,
Sudan, Sudani Kusini, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia,Djibouti
na wenyeji Tanzania.Mashindano hayo yameanza jana tarehe 23 April hadi
April 31ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.
Baadhi
ya washiriki wa Mashindano ya Ubingwa wa Chess Afrika, Kanda ya 4.2
kimchezo huo wakiendelea kuchuana jana jijini Dar es Salaam. Mashindano
hayo yanendelea katika Ukumbu uliopo Hotel ya Peackok ambapo mshindi
katika mashindano hayo atajinyakulia kitika cha Euro 3000.

0 comments:
Post a Comment