Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa Akizungumza wkati alipofungua mkutano Mkuu Maalum
wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kwenye Kituo
cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8, 2016.
Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,
Suleiman Jafo kizungumza kabla ya kumakribisha Waziri Mkuu, Kasim
Majaliwa kufungua Mkutano Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za
Mitaa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za
Mikoa (ALAT), Gulam Mkadam Taarifa ya Utafiti kuhusu Sekta ya Umma na
Binafsi kwenye serikali za Mitaa wakati alipoizindua baada ya kufungua
Mkutano Mkuu Maalum wa uchaguzi wa Jumuiya ya Tawla za Mitaa Tanzania
(ALAT) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Dodoma Aprili 8,
2016. Kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawla za Mikoa na
Serikali za Mitaa Suleiman Jafo.
Baadhi ya
washiriki wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za
Mikoa (ALAT) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati
alipofungua Mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8,
2016.
Waziri
mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE,
Edwin Rutageruka wakati alipotembelea abanda la maonyesho la TANTRADE
kabla ya kufungua Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala
za Mitaa (ALAT) kwetuo cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8, 2016.
Wasanii
wa kikundi cha Nyota cha Dodoma wakitumbuiza katika Mkutano Mkuu Malum
wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma
mjini Dodoma Aprili 8,2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment