SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, April 9, 2016

KWANINI UTUMIE KINYWAJI HIKI CHA ALOE VERA GEL?

Je unafahamu maradhi mengi husababishwa na utumbo wako wako kuwa mchafu?
Je unafahamu kuwa unavyopeleka gari lako service na mwili wako unahitaji?
Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako?
Kutoa Sumu za Chemicals, Soda, Sigara, Madhara ya Madawa, Air Condition(AC), Juice za Box(Artificial Juice), Pombe(Alcohol) na mengi mengineyo?
Jaribu kufikiria unapata choo laini? Na je unapata kila siku?
Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi kama Kuumwa Kichwa muda mrefu, Gesi Tumboni, Kansa ya Utumbo, Na mara nyingine Uti wa Mgongo unaweza kuoza.

Jipatie juice ya Aloe Vera Gel ni juice ambayo
inatoa sumu mwilini(Cleansing), Inaongeza kinga ya mwili
Inasaidia mmeng’enyo wa chakula ili kusaidia kwa wale wasiopata choo(Constipation)
Pia kuisaidia maradhi ya kama Presha, Kisukari, Vidonda vya Tumbo na Aleji.
Pia ni Anti aging inapunguza kasi ya uzee.

Utahitajika kutumia chupa 4 na chupa moja utakunywa yote asubuhi(Flashing),
Zilizobaki utatumia nusu glass kutwa mara 2 kwa siku.


KWA MAELEZO ZAIDI AU KUJIPATIA JUICE(BIDHAA) YAKO WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA/WHATSAPP 0783 149 561 NI INBOX ME

0 comments:

Post a Comment