Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kulia akiwa na mpinzani wake Zapir Rasulov wa Russia baada ya kumshinda kwa pointi
BONDIA
Mtanzania Bingwa wa Afrika wa mikanda ya WPBF na U.B.O Afrika Ibrahimu
Class ‘King Class Mawe’ aprili 15 mwaka huu amefanya kweli baada ya
kumtwanga bila huruma Bondia Zapir
Rasulov wa Russia baada ya kufanikiwa kumpiga kwa pointi katika
mpambano uliofanyika kwenye ukumbi wa Hotel ya Convenciones Vasco Panama City, nchini Panama
0 comments:
Post a Comment