Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Uhamiaji cha
Kikanda (TRITA) mjini Moshi. Katika hotuba yake Rwegasira aliitaka Bodi
hiyo ifanye kazi kwa ushirikiano kwa maendeleo ya chuo. Wapili kushoto
ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Victoria Lembeli. Kushoto ni
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, na Mwenyekiti wa
Bodi ya Chuo, Kinemo Kihomano. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Kaimu
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Victoria Lembeli akizungumza na wajumbe
wa Bodi ya Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA) katika hafla fupi ya
uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika mjini Moshi. Watatu kulia meza kuu ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira. Kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud
Sururu, wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Kinemo Kihomano.na
kulia ni Kamishna wa Chuo hicho, John Choma.
Mkufunzi
Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA) mjini Moshi, Erasmi
Francis akimuonyesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) na wajumbe wa Bodi ya Chuo
hicho, kamera inayotumika kuchukua kumbukumbu za usalama kwa ajili ya
watu wanaopita katika mipaka ya nchi. Wapili kushoto ni Kaimu Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Victoria Lembeli. Watatu kulia ni Kamishna wa
Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo
hicho, Kinemo Kihomano (Wasita kushoto).
Mkaguzi
wa Uhamiaji ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama, Chuo cha Uhamiaji
cha Kikanda (TRITA) mjini Moshi, Zawad Chazuka akimuonyesha Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(katikati) albamu yenye hati za kusafiria za mataifa mbalimbali duniani,
albamu hiyo inaonyesha alama za kiusalama ambazo zipo katika pasipoti
za mataifa mbalimbali. Kushoto ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Victoria Lembeli.
Mkaguzi
wa Uhamiaji ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama, Chuo cha Uhamiaji
cha Kikanda (TRITA) mjini Moshi, Zawad Chazuka akimuonyesha Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(katikati) albamu yenye hati za kusafiria za mataifa mbalimbali duniani,
albamu hiyo inaonyesha alama za kiusalama ambazo zipo katika pasipoti
za mataifa mbalimbali. Kushoto ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Victoria Lembeli.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (kushoto) akimsalimia Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Victoria Lembeli, wakati alipokuwa anawasili katika Chuo cha Uhamiaji
cha Kikanda (TRITA) mjini Moshi kwa ajili ya kuzindua Bodi ya Chuo
hicho. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira akikagua maeneo mbalimbali ya Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda
(TRITA) mjini Moshi. (kushoto) mara baada ya kuzindua Bodi ya Chuo
hicho. Katikati ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Victoria
Lembeli, na kulia ni Kamishna wa Chuo hicho, John Choma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (katikati waliokaa), Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Victoria Lembeli (wapili kushoto waliokaa), Kamishna wa Uhamiaji
Zanzibar, Johari Masoud Sururu (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja
na wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA), mara baada
ya Katibu Mkuu huyo kuzindua Bodi hiyo mjini Moshi. Picha zote na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 comments:
Post a Comment