SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, February 27, 2016

Fahamu Sababu 10 Kwanini Utumie Bidhaa Hii Ya ARGI+?

 Fahamu Sababu 10 Kwanini Naipenda Na Natumia ARGI+, Na Kwanini Napendekeza Na Wewe Utumie Bidhaa Hii? Ni Muhimu Kwa Afya Yako.

Ina 5 grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja, na vitamini mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu. L-Arginine ni amnino acid muhimu sana kwa afya kiujumla. Miili yetu inaibadilisha kuwa Nitric Oxide, ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita. ARGI + pia ina viondosha sumu kama Pomegranate.

Faida 10 za ARGI +

1. Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi.

2. Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na Nitric Oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa.

3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "Blood Pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla.

4. Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni nzuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.

5. Nitric Oxide inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza NGUVU ZA KIUME.

6. Inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu, pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili. Ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.

7. Ina "Pomegranate" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu, husaidia kuondoa madhara ya "FREE RADICALS" mwilini.

8. Inavimelea vitokanavyo na "RED WINE" ambayo inasidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.

9. Inaongeza uwezo wa mwili kutumia insuline (Insuline Sensitivity) hivo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini.

10. Inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kasi ya kuzeeka (Anti-Ageing), kukufanya uonekane chini ya umri wako.

#Matumizi:
*Kijiko kimoja cha ARGI + na 240 ml za kinywaji cha Aloe Vera au Juisi, Maji au Maziwa Mtindi.

#Unaipataje ARGI +?
*Kukuletea Kwa Dar es Salaam Mahali Ulipo Ni Bure, Kwa Mkoani Tutakutumia. Kupata Bidhaa Yako, *Toa Oda Yako Sasa.

*Wasiliana Na Mgavi Aliye Karibu Yako!
*Kwa Mawasiliano Zaidi Piga :-
Call/WhatsApp/Sms +255 783 149 561

0 comments:

Post a Comment