SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, October 7, 2015

KWA NINI? Utuunge mkono kutumia ALOE EVER-SHIELD Deodorant?

KWA NINI? Utuunge mkono kutumia ALOE EVER-SHIELD Deodorant?
Kuna Ule Usemi wa Kiingereza unaosema "CHEAP IS EXPENSIVE" Ukimaanisha "RAHISI NI GHARAMA" 

Kwanza kabisa Deodorants nyingi zilizopo madukani kwenye soko zina tengenezwa na madini ya Aluminium na kazi yake ni kuziba vitundu vilivyopo chini ya kwapa la mwanadamu ili visiweze kutoa majasho...na kuufanya mwili wako uweze kupumua...hii ikimaanisha kumsahihisha Mwenyezi mungu ktk uumbaji wake...kwa kufanya hivyo humsababishia mtu kuto kutokwa na jasho.....lakini kwa gharama ya kupata maradhi, majipu nk...na hata kupelekea kupata saratani kutokana na madini ya Aluminium kuingia ktk mwili wa mwanadamu........

Wengi hulalamika gharama ya bidhaa hii.........pasipo kutafakati gharama hizi za kiafya....na za kiuchumi....mfano mdogo Deodorant hizi huuzwa kwa shs.4,500/= - 5,500/= inaoneka ni rahisi lakini ni gharama..kwa sababu kwa miezi 4 mpaka 6 utatumia takriban Shs.18,000/= - 22,000/= (Budget ya miezi 4)

Wakati ambapo kwa kutumia bidhaa yetu yenye manufaa mengi kwa mwili wa mwanadamu kiafya kwa shs.15,000= kwa miezi 5 mpaka 6 kutegemeana na matumizi unakuwa umeokoa shs.3,000/= mpaka 7,000/= ktk bajeti yako na kuepukana na athari za kiafya zifuatazo huko mbeleni...

Karibu Sana! Uanze kutumia Bidhaa Zenye ubora Na Zenye Kulinda AfyaYako...........
KWA ORDERS WASILIANA NA MGAVI WA FOREVER ALIYE KARIBU NAWE.........
Tuwasiliane Kwa Namba : 0783 149 561  WhatsApp : 0783 149 561 Utaletewa ulipo Jijini Dar.

0 comments:

Post a Comment