Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali na Makamu wa Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. AlyAbou- Sabaa wakisaini mkataba wa Tsh
137.5 Billion kwaajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa serikali ya
Tanzania.Sherehe hiyo ilifanyika hapa Mjini Abidjan- Ivory coast.
Makamu wa Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw.AlyAbou – Sabaa na Gavana wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile wakipongezana mara
baada ya kusaini mkataba wa Tshs 137.5 Billoni wa kusaidia kwenye sekta
ya umeme na nishati nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. AlyAbou-Sabaa na Gavana wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzaniaa mbaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile pamoja na wajumbe
waliohudhuria katika hafla ya kutia saini mkataba wa kiasi cha Tsh.
137.5 Billion kwaajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hasa
umeme nchini Tanzania.
0 comments:
Post a Comment