SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 10, 2014

ALOE LIPS NA FAIDA ZAKE

 
Ni bidhaa ndogo lakini inatumika ktk huduma ya kwanza ina ALOEVERA JOJOBA OIL na NTA ya nyuki ambayo husaidia

KULAINISHA,
KUBORESHA MIDOMO na ngozi kwa ujumla

*husaidia kuondoa mipasuko ya midomo
*ukavu
*vidonda na michubuko
*husaidia kuondoa maumivu na kuponya watu waliojikata,kun'gatwa na wadudu na
*kuungua moto
*pia ikipakwa katika mwil huweza kufkuza mbu
*kwa wenye matatizo ya kuvimba sehemu ya haja kubwa ikipakwa husaidia kuua bacteria na kuondoa uvimbe


Piga Simu
0783 149 561 kwa maelezo zaidi ya jinsi gani nawe unaweza nufaika na bidhaa hii ama Whatsapp 0783 149 561

0 comments:

Post a Comment