SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, October 18, 2014

KUELEKEA PAMBANO LA WATANI WA JADI YANGA v/s SIMBA BADO MASAA MAWILI KIELEWEKE

Huku Coutinho, Jaja, Ngassa na Niyonzima.
Huku, Tambwe, Singano, Okwi na Kiemba.

MATOKEO YA MECHI 3 ZA MWISHO ZA WATANI WA JADI
MEI 18, 2013:- YANGA 2-SIMBA 0
OKTOBA 20, 2013 YANGA 3-SIMBA 3
APRILI 20, 2014 YANGA 1- SIMBA 1

MATOKEO YA YANGA NA SIMBA TANGU MWAKA 2005
Timu hizo za Watani wa Jadi zimekutana mara 92.
YANGA:- Imeshinda 33, Imefungwa mara 27, Imetoa sare mara 32.

SIMBA:- Imeshinda mara 27, Imefungwa mara 33 Imetioa sare mara 32.

APRILI 17, 2005 SIMBA 2-YANGA 1
AGOSTI 21, 2005 SIMBA 2-YANGA 0
MACHI 26, 2006 SIMBA 0- YANGA 0
OKTOBA 29, 2006 SIMBA 0- YANGA 0
JULAI 8, 2007 SIMBA 1- YANGA 1
OKTOBA 24, 2007 SIMBA 1- YANGA 0
APRILI 27, 2008 SIMBA 0- YANGA 0
OKTOBA 26, 2008 YANGA 1- SIMBA 0
APRILI 19, 2009 YANGA 2- SIMBA 2
OKTOBA 31, 2009 YANGA 0- SIMBA 1
APRILI 18, 2010 YANGA 3- SIMBA 4
OKTOBA 16, 2010 YANGA 1- SIMBA 0
MACHI 5, 2011 YANGA 1-SIMBA 1
OKTOBA 29, 2011 YANGA 1- SIMBA 0
MEI 6, 2012 YANGA 0- SIMBA 5
OKTOBA 3, 2012 YANGA 1- SIMBA 1
MEI 18, 2013 YANGA 2- SIMBA 0
OKTOBA 20, 2013 YANGA 3- SIMBA 3
APRILI 20, 2014 YANGA 1- SIMBA 1
OKTOBA 18, 1014 YANGA ?-SIMBA ?

MECHI NYINGINE ZA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 18, 2014
1:-Polisi Moro v/s Mtibwa Suga- Jamhuri, Morogoro
2:- Ndanda Fc v/s Ruvu Shooting- Nangwanda Sijaona, Mtwara
3:- Kagera Sugar v/s Stand United- Kaitaba, Bukoba
4:- Coastal Union v/s Mgambo Shooting- Mkwakwa, Tanga
5:- Mbeya City v/s Azam Fc- Sokoine, Mbeya
6:- Yanga v/s Simba- Taifa, Dar es Salaam

0 comments:

Post a Comment