Nguli
wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza
kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na
'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliweza
kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support. PICHA
ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Msanii Professa J akitoa burudani.
Msanii Professa J akizindua video zake.
0 comments:
Post a Comment