

Basi la kamwana express likilipita lori kwa mwendo kasi karibu
na eneo la Chalinze mkoani Pwani huku dereva huyo akijua sheria za
bararani kuwa ni marufuku kulipita gari nyingine na anajua wazi kuwa
mbele kuna gari inakuja . Hutua hii inasababisha kukosekana kwa usalama
wa abiria na raia kwa ujumla.
Picha na Benjamin Sawe Wizara ya Habari.




0 comments:
Post a Comment