“Kwa
mara ya kwanza, nitapanda jukwaa la Uwanja wa Taifa kuweka historia
mpya. Mashabiki wengi ‘wamenimiss’, Agosti 8 itakuwa maalum kwa ajili
yao. Wategemee ngoma kali kibao kutoka kwa mfalme wa Bongo Fleva
niliyerudi kupangusa kiti changu na kukikalia,
“Nitagonga kali kama Dushelele, Single Boy, Run Dunia na mpya zinazobamba kwa sasa ambazo ni Mwana na Kimasomaso.”
0 comments:
Post a Comment