Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla
aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali
wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall
Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam.
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere.
Wasanii wakipata maakuli...
Kila mmoja aliona ni wakati mwafaka kuongea na mwenzake aliyepotezana nae miaka kadhaa.
Ilikuwa ni furaha maana wasanii wengine kuonana huwa ni mara chache chache.
Jini Kabula, Mariam Mndeme na Isabela Mpanda wakijumuika katika hafla hiyo.
Meza ya waheshimiwa...
Ester akiwa na rafiki yake Zilpa.
Jose Mara nae hakuwa nyuma...
Samaki aina ya Kaa.
Chaz Baba akipakua chakula.
Zungu wa GPL akiwa na Mkurugenzi wa Kajunason blog, Cathbert Angelo pamoja na msanii Rich.
Msanii Nguri wa Muziki wa Bongo Fleva, Profesa J akipata chakula....
Msanii Haji akimsurubisha samaki aina ya Kaa.
Mshereheshaji wa hafla hiyo akieleza machache.
Msanii JB akiwasisitiza wenzake suala la upendo miongoni mwao.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla
aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali
wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall
Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam.
Malkia wa Mipasho, Bi. Khadija Kopa akilto nasaha kwa wasanii wenzake pamoja na wadau waliojumuika katika hafla hiyo.
Wasanii na wadau wakitafakari kwa pamoja.
Msanii Nguri wa Muziki wa Bongo Fleva, Profesa J akitoa machache.
Wasanii wakipongeza Msanii Nguri wa Muziki wa Bongo Fleva, Profesa J mara baada ya kutoa neno zito.
Mwandishi Sauda Mwilima nae alikuwa ni miongoni mwa wadau walialikwa.
Chaz Baba nae hakuwa nyuma kutoa shukrani zake za pekee.
Mwalimu Julio alikuwa ni miongoni mwa wageni waliofika na kutoa maneno/wosia mzito kwa wasanii.
Mboni
Masimba akieleza machache na kutoa shukrani zake kwa Rais wa Bongo
Movie Steve kumutambua kuwa yeye mdau muhimu katika tasnia hiyo.
Mwenyekiti
wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna alikuwa ni miongoni mwa wageni
waalikwa waliohudhuria katika hafla hiyo na kuwakaribisha wasanii hao
mkoani kwake ili waweze kufungua milango ya uwekezaji.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda akiwasisitiza
vijana namna ya kufanya sanaa yao ikawaletea matunda mema.
Zamaradi akizungumza machache na wasanii.
Mboni akipata ukodak na Zungu wa GPL.
Furaha za hapa na pale nazo zilitanda.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
0 comments:
Post a Comment