SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, July 22, 2014

MTOTO WA MIAKA TISA AREJEA KIAPO CHA NDOA NA MKEWE WA MIAKA 62

Mwanafunzi wa kiume wa mika tisa nchini Afrika Kusini amekuwa ni mwanandoa mdogo kuliko wote duniani kwa mara ya pili baada ya kumuoa kwa mara ya pili mkewe wa miaka 62.

Akiwa anaonekana mrefu kiasi ikilinganishwa na mwaka jana, akiwa amevalia suti ya tuxedo ya kung'ara rangi ya fedha, Saneie Masilela alionekana akishika mkono mkewe Helen Shabangu, wakirejea kiapo chao cha ndoa, baada ya mwaka mmoja kupita.

Ndoa hiyo ya mara ya pili safari hii imefanyika nyumbani kwao mkewe huko Ximhungwe huko Mpumalanga nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na wageni 100.
                                 Bwana na Bibi Harusi wakiwa wameketi kwenye kochi lao

0 comments:

Post a Comment