Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari May 7, 2014 jiji Dar es Salaam. juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.
Mwendesha mada Bi. Singlunda, akielezea machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu.
Mdau wa habari akichangia mada.
Mdau wa habari akichangia mada.
Afisa Mazingira Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais, Ladislaus Kyaruzi, akisisitiza juu ya utunzaji wa mazingira.
Afisa Elimu Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Matha Ngolowera akitoa ufafanuzi juu ya Tuzo ya Rais Dr. Jakaya Kikwete ya Upandaji wa Miti ambayo hutolewa mara moja kwa mwaka wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
Wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano huo.
Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Fainahappy Kimambo (kulia), akisisitiza Jambo kuelekea siku ya Mazingira Duniani (kushoto), Mwendesha mada Bi. Singlunda.
Mdau wa habari akichangia mada.PICHA NA PHILEMON SOLOMON