Wadau NSSF. |
Katika hotuba yake ya Ufunguzi kwa niaba ya Serikali na wizara Naibu waziri wa wizara ya Nishati na Madini nchini Steven Masele ameishukuru NSSF kwa kukubali kufanya kazi na wachimbaji wadogo. |
Wanahabari wakisaka picha zenye mvuto za kutazamika. |
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo. |
Meza ya baadhi ya waratibu wa semina ya NSSF kwa wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano Victoria Palace Hotel Capripoint jijini Mwanza. |
Kutoka meza kuu hadi kwa wadau washiriki wa semina ya NSSF kwa wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Serengeti, Victoria Palace Hotel Capripoint jijini Mwanza. |