SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, March 5, 2014

Wajumbe wa Katiba wagombea nyaraka, Hati ya Muungano yaleta utata


Video na Mwananchi Communication Limited

Kazi ya kuhakiki kanuni za Bunge Maalum la Katiba imeendelea kwenda kwa mwendo wa pole, huku wajumbe wakizidi kulumbana. Utata uliibuka pale Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, alipoleta mapendekezo ya kurekebisha kanuni mojawapo ya Bunge hilo, ili kuwawezesha wajumbe kupata nyaraka au taarifa kwa lengo la kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

0 comments:

Post a Comment