Mgombea
ubunge Jimbo la Kalenga, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey
Mgimwa (kulia) akiwa na bibi yake, Consolata Semgovano wakipungia
mikono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji
alichozaliwa cha Magunga, Iringa Vijijini leo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Nyumbani
alikozaliwa babake na mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa,
marehemu Dk. Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo.
Msafara wa Mgimwa ukiingia katika Kijiji alichozaliwa cha Magunga.
Mgimwa akisalimiana na wazee wa Kijiji hicho.
Mgimwa akisalimiana na akinamama wa kijiji hicho.
Mzee wa Kijiji cha Magunga akicheza kwa furaha wakati wa kumpokea Mgimwa
Ni nderemo nderemo kwa kwenda mbele ikiwa ni furaha ya wakazi wa kijiji hicho wakati wa kumlaki Godfrey Mgimwa.
Mgimwa akijiunga kucheza na wanakijiji wenzie alipowasili katika Kijiji chao cha Magunga
Msanii wa muziki wa kiszazi kipya na filamu, Ummy Wenslaus 'Dokii'akifanya vitu vyke katika mkutano huo wa kampeni
Wananchi
wakinyoosha mikono ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyoi
Godfrey Mgimwa siku ya uchaguzi Machi 6, mwaka huu.
Kila mara ilikuwa ni furaha
Mgimwa akiongozwa na wanakijiji wenzie |
Wakiwa wamesimama kwa muda wa dakika moja kumuombea marehemu Dk. William Mgimwa
Bibi
yake Godfrey Mgimwa , Consolata Semgovano akitoa neno la baraka kwa
mjukuu wake ili ashinde uchaguzi huo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO
BLOG
0 comments:
Post a Comment