Jaji wa Mahakama Kuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba
Mkurugenzi Mtendaji wa Haki za Binadamu Bi. Helen Simba akieleza kuhusika kwa haki za Binadamu katika Rasimu ya Pili katiba kwa wananchi.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akitoa hotuba kabla ya uzinduzi
Rasmi wa kampeni ya Taifa ya kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa Wananchi
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi Kijitabu kidogo
kilicho andikwa Rasimu ya Pili ya Katiba Inasemaje? Chapisho la Lugha
nyepesi
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua rasmi vipeperushi
vilivyo andikwa , Mambo Saba makubwa ya kuungwa mkono na wananchi katika
Rasimu ya Katiba pamoja na mambo makubwa matano yanayokosekana katika
Rasimu ya Katiba na Kipeperushi cha pili kinacho sema 'Taifa ni letu na
Katiba ni yetu Husika tupate Katiba Bora.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akigawa vipeperushi hivyo kwa
ishara ya uzinduzi rasmi.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi Jarida la Rasimu ya Pili ya Katiba
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Flash Disk maalum zenye
Rasimu ya Katiba ambazo zitagawiwa kwa waendesha Bodaboda ili abiria
akipanda nae apate kusikiliza Rasimu hiyo.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi, DVD, VCD pamoja na
AUDIO CD kwa ajili ya walemavu.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi Tovuti 'Blog' inayo itwa Taifa ni letu www.taifaniletu.blogspot.com ambayo ni maalumu kwa ajili ya Rasimu ya Pili ya Katiba.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za
haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akitoa pongezi kwa jinsi mchakato
unavyokwenda ikiwa ni pamoja na kutumia Teknolojia ya hali ya juu ili
kila mtu afikiwe na Rasimu ya Pili ya Katiba
Kundi la watu wenye ulemavu wa aina
mbalimbali wakiwa wamefika katika uzinduzi wa kampeni ya taifa ya
kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa wananchi wote
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Jangwani wakiwa katika uzinduzi wa kampeni ya taifa ya
kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa wananchi wote,ambapo
pia kulikuwa na shule zengine Kama Azania ,Mazimbwi na Chamazi.
Kwaya kutoka Haki za Binadamu wakitumbuiza kwa moja ya nyimbo zao
Sehemu ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi huo.
Picha na Dar es salaam Yetu Blog
0 comments:
Post a Comment