SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, February 28, 2014

Ndege yanunuliwa na kugeuzwa nyumba ya wageni.

Ndani ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala na ipo karibu na uwanja 
wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden.
Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia £170 kwa usiku mmoja.
Nyumba hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976 Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia.
Kwa msaada wa VIJIMAMBO

0 comments:

Post a Comment