
Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua

Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jana jioni

Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jana jioni


Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa

Hii ni njia ya mlima sekenke

![]() |
Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana
Lori
la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani
singida na kuua watu wanne hapohapo.
Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli
kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo.Shuhda wa
ajali hiyo bwana Julius chacha alipoongea na mtandao wetu wa Dj sek blog
amesema kwamba Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia bondeni
na kushika moto.
Akiendelea kuongea shuhda huyo alisema walishindwa
kutoa msaada wowote kwa kwa moto uliposhika ulikuwa mkubwa na hawakuwa
na vifaa vya kuokolea.Watu wanne wamekuufa papo hapo kutokana na ajali
hiyo.
Polisi walikuwa bado hawajafika eneoo la tukio mpaka tunaondoka
eneo la tukio.
0 comments:
Post a Comment