SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, January 7, 2014

Ujenzi wa daraja la Kigamboni kukamilika Julai 2015.


Ujenzi wa daraja la Kigamboni hautakamilika kama ilivyotarajiwa Januari 2015 na badala yake utakamilika Julai 2015 kufuatia mikondo ya maji kukutwa chini ya miamba iliyotarajiwa kusimamishiwa nguzo za daraja hilo na kulazimisha mkandarasi kuongeza urefu wa nguzo kutoka mita 64 hadi 84.

0 comments:

Post a Comment