
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue.akitangaza baraza la mwaziri leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Naibu Wizara Mpya wa Fedha (Sera)Mwigulu Nchemba

Naibu Waziri Mpya wa kilimo na Chakula-Godfrey Zambi

Waziri Mpya wa Katiba na Sheria Dr Asha Rose Migiro

Naibu Waziri Mpya wa wizara ya Jinsia na watoto Pindi Chana

Naibu Waziri Mpya wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Muhagama
Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Kwa Makini Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue(hayupo pichani)akitangaza baraza la mwaziri leo Ikulu Jijini Dar es Salaam




0 comments:
Post a Comment