
Mwandishi Anne Waithera enzi za uhai wake.
MWANDISHI wa BBC kutoka nchini
Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu
akisumbuliwa na maradhi ya saratani. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya
marehemu mahali pema peponi!
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
0 comments:
Post a Comment