SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 8, 2014

Msikilize Mwenyewe Mwenyekiti wa Chadema, Wilaya ya Temeke, Joseph Yona Akielezea Jinsi Alivyotekwa Nyara na Kujeruhiwa Vibaya Kwa Kipigo Nakisha Kutupwa Katika Vichaka eneo la Tegeta Ununio,Wilayani Kinondoni na Watu Wasiojulikana.

 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Joseph Yona  akiwa mwenye maheraha baada ya kuokotwa jana na kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kudai kupigwa na watu wasiojulikana na kuumizwa vibaya kichwani usiku wa kuamkia jana na kutupwa maeneo ya Ununio-Kawe jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Joseph Yona akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jaa  baada ya kudai kupigwa na watu wasiojulikana na kuumizwa vibaya kichwani  usiku wa kuamkia jana  na kutupwa maeneo ya Ununio-Kawe jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Joseph Yona akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili  akizungumza na waandishi wa habari.Picha  na Audio na  Mroki Mroki

0 comments:

Post a Comment