SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, January 3, 2014

Kitu Kinachosadikiwa Kuwa ni Bomu Laonekana Makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Karibu Kabisa na Kituo Kipya Cha Mabasi Yaendayo Kasi

 Vikosi Maalum Vya Ulinzi na Usalama Wakiangalia kwa makini na kuondoa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye kitu cha mabasi Shekilango jijini Dar es Salaam  kwenye makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Jana Mchana Huu.Hata hivyo vyombo vya ulinzi na usalama vilifanikiwa kuondoa kitu hicho bila madhara yoyote kwa wananchi.Habari zaidi baaadae.

0 comments:

Post a Comment