
Mwenyekiti
wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiongoza maaandamano
Kuelekea Himo kwenye Uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima Jana

Maelefu
ya Wanachama wa Chadema Wakimshangilia kwa nguvu mwenyekiti wa chadema
na mbunge wa hai freeman Mowe wakati wa uzinduzi wa operesheni Pamoja
daima Himo jana

Mamia
ya wafuasi na wapenzi wa chadema wakimsikiliza mbunge wa moshi mjini
-chadema Ndesamburo wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana

Mbunge
wa moshi mjini -chadema ndesamburo akihutubia mamia ya wafuasi na
wapenzi wa chadema kwenye uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana
kiborolino

Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akihutubia wanachama muheza tanga
Katibu
Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Akihutubia wakazi wa Kyela, Mbeya
katika ziara zinazoendelea za Operesheni Pamoja Daima jana
Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akihutubia wakazi wa Kyela Mbeya jana

Katibu Mkuu wa Chadsema Dr Wilbrod Slaa akimnadi Mgombea wa Udiwani jana


Sehemu ya Umati Mkubwa Uliyojitokeza jana

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa wakati anaagana na wakazi wa
Mbambabay ambao walifurika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa operesheni
Pamoja Daima, Kulia kwa Katibu Mkuu ni Mbunge wa iringa mjini Mchungaji
Peter Msigwa.Picha na Chadema
0 comments:
Post a Comment