Remidius
M. Emmanuel (Rais wa Serikali ya wanafunzi CBE ya Dodoma) akikabidhi
zawadi hizi kwa mlezi wa kituo hiki zilizopokelewa na mtoto katika kituo
cha Watoto Yatimu cha Miyuji jana tarehe 24/12/2013 mnamo
saa tano asubuhi, akitoa pongezi kwa Mlezi wa kituo hicho Sister Glory
Shayo kwa kulea watoto hawa. Rais aliwasilisha baadhi ya vitu kwaajili
ya watoto hao.Vitu vilivyotolewa ni Mchele kilo 50, Ngano kilo 50, Mafuta kula lita 20, Mafuta ya kujipata dazan 1 na Maji carton 2.
Mlezi wa kituo hicho Sister Glory
Shayo akipoke ndoo mbili za mafuta ya kula
Mtoto anayelelewa kwenye kituo icho akipokea mafuta kwa niaba ya watoto wenzake wanaolelewa katika kituo hicho
Huu ndio msaada uliotolewa na uongozi wa Serikali ya wanafunzi CBE ya Dodoma hapo jana
Rais akiwa na watoto hawa akionyesha upendo kwa watoto Yatima
Mhe,
Remidius M. Emmanuel (Rais wa Serikali ya wanafunzi CBE ya Dodoma)
akiwa na baadhi ya viongozi katika kituo cha Watoto Yatimu cha Miyuji
jana tarehe 24/12/2013 mnamo saa tano asubuhi, akitoa pongezi kwa Mlezi
wa kituo hicho Sister Glory Shayo kwa kulea watoto hawa. Rais
aliwasilisha baadhi ya vitu kwaajili ya watoto hao
"Napenda
tuwe mfano mzuri ndani na nje ya chuo, hata Mkoa kuwatembele watoto
hawa kujiona nao ni sehemu ya jamii kiujumla" Maneno ya Rais.
Mhe, Yohana akimsikiliza Mhe, Remidius M. Emanuel anavyo toa zawadi hizo
Watoto hawa wakiongea na ndugu Dominicky Stephano na nyuso zao zikionekana ni za furaha
Waziri wa Fulsa na Mipango Mhe, Riziki Shaweji akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe, Simba
Zawadi zilizo tolewa
Mhe
Ignas alipata bahati ya kutembelea shamba la mboga mboga hili ni shamba
ambalo kituo kimeweza kuliwekeza kwa ajili ya kilimo hiki cha mboga
mboga:
Hakuna
mahari popote duniani panapoweza kuondokana na janga la njaa pasipo
kuwekeza katika kilimo vivyo hivyo hivyo katika kituo hiki wameamua
kupigana na adui njaa kwa kujiandalia mazao yao: Tazama mashamba haya:
NA MICHUZI MATUKIO BLOG
0 comments:
Post a Comment