SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, December 23, 2013

Ofisi ya Waziri Mkuu yaendelea kusaidia utekelezaji wa mpango wa kukabiliana na Maafa Nchini.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Pascal Mabiti akimweleza Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba jinsi Mkoa huo utakavyo tekeleza Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa katika Mkoa wa Simiyu, wakati wa uzinduzi wa mpango huo jana.
 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Pascal Mabiti akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Bariadi  Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa katika wilaya hiyo, wakati wa uzinduzi wa mpango huo  Wilayani Bariad jana (kulia) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Pascal Mabiti (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe kutoka mkoa wa Simiyu mara baada ya uzinduzi  jana Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa katika mkoa wa  Simiyu (wan ne toka kushoto) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba.
Picha na Ibrahim Hamidu-Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment