Kaimu
Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Chiku Matessa
akiwasilisha kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayohusu masuala
ya Ukimwi na dawa za kulevya, mada ya utekelezaji wa mfuko huo sera ya
ukwimwi mahali pa kazi, Uongozi wa NSSF ulipokutana na kamati hiyo
kwenye Ofisi za Bunge mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na dawa za kulevya Lediana Mg'ong'o na
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Faustine Ndungulile, wakizungumza
na uongozi wa NSSF wakati uongozi huo ulipowasilisha mpango wake wa
utekelezaji, sera ya ukimwi mahala pa kazi.
Meneja
wa utoaji mafao ya matibabu wa NSSF, Dk. Ali Mtulia, akifafanua jambo,
mblele ya Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi na dawa za kulevya
Mjumbe
wa Kamati hiyo Maria Hewa, akitaka ufafanuzi kuhusu NSSF inavyotekeleza
Sera hiyo ya Ukiwmi mahala pa kazi ndani ya Taasisi hiyo.
Mmoja wa wajumbe wa Kamati hiyo ya Bunge akitaka ufafanuzi
"MPANGOKAZI HUU NI MZURI", anasema Dk. Ndungulie na kuongeza kuwa kinachohitajika sasa ni maboresho tu.
Dk. Ndungulile akisisitiza jambo
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge kuhusu Ukimwi na dawa za kulevya wakiwa kwenye mkutano huo na uongozi wa NSSF
0 comments:
Post a Comment