SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, October 10, 2013

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAENDELEA NA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA YALIYOTOLEWA KATIKA MABARAZA YA KATIBA

 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu (kulia) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yalitolewa katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni. Kuli ni Mjumbe wa Tume, Bi. Mwatumu Malale.
 Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, upande wa pili kushoto Bi. Jesca Mkuchu, Bi. Fatma Said Ali na wajumbe wengine Bi Maria Kashonda na Yahya Msulwa wakiwa katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.
 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Maria Kashonda (kushoto) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.Kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo, Bw. Yahya Msulwa
 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi (kulia)akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni. Kushoto ni Mjumbe wa Tume, Alhaji Said El- Maamry.
 Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka (kulia) Prof. Palamagamba Kabudi, Alhaj Said El- Maamry, Bi. Kibibi Hassan na Bi. Esther Mkwizu wakiwa katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) kuchambua maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilisha na kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.
 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Awadh Said (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wengine wa Tume, Bi. Mwatumu Malale na Prof. Mwesiga Baregu wakati wa kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwatumu Malale (kushoto) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yalitolewa katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Prof. Mwesiga Baregu.
Picha na Tume ya Katiba

0 comments:

Post a Comment