
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha-Rose Migiro, akimpongeza Kada wa CCM, Asha Abdallah Juma, baada ya kumtunuku shahada ya pili ya Biashara ya Chuo hicho, katika mahafali ya 25, yaliyofanyika leo, Makao Makuu ya OUT, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani. Kushoto ni Makamnu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette. Asha ambaye sasa ni Mjumbe wa NEC CCM, amewahi kuwa Wazirikatika serikali ya Mapinduzi Zanzibar na pia Katibu wa NEC, Oganaizesheni.

MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi CCM, Makao Makuu, Daniel Chongolo, akipongezana na Mjumbe wa NEC ya CCM, Asha Abdallah Juma baada ya wote kutuniwa shahada zao katika mahafali ya 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), yaliyofanyika jana, Oktoba 27, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani. Chongolo ametunukiwa shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma na Asha shahada ya Pili ya Biashara. Katikati ni Kada wa CCM, Rachel Kyala ambaye pia ametunukiwa shahada ya Mawasiliano ya umma.

Mama Asha akipongezwa na mmoja wa ndugu zake wa karibu baada ya kutunukiwa shahada hiyo

Kisga Ndugu yake huyo akapozi naye picha ya kumbukumbu

Huyu pia ambaye ni ndugu wa karibu akapiga naye pozi la picha

Asha akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake waliofika kwenye mahafali hayo kumponbgeza

Asha akipongezana na mhitimu mwenyenzake, Amina Mzee Ibrahim kutoka Shirila la Bima Zanzibar ambaye amepata shahada ya MBA

Mama Asha, akipozi picha ya kumbukumbu na mhitimu mwenzake Haider Mwinyimvua
============================
CHOBGOLO

Chonbgolo (wapili kulia) akiweka sawa kofia yake maalum, baada ya yeye na wahitimu wa shahada ya mawasiliano na umma kutunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafali hayo

Hongera Mwanangu: Chongolo akipongezwa na mama yake baada ya kutunikwa shahada yake

Mama akamvalisha taji kwa furaha

Hongera Mume wangu: Mkewe pia akampingeza

Kisha akapozi naye picha ya kumbukumbu

Huyu kaka ambaye naye ni ndugu wa karibu wa Chongolo akatoa pongezi zake kwa furaha kubwa

Kisha Chongolo akapiga na ndugu zake hao picha ya kumbukumbu
===========

HAPA BILA SHA MAMBO YAMENOGA: Inaelekea ndivyo Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania , Dk. Asha-Rose Migiro ndivyo alivyokuwa akiteta na Makamu wake, Tolly Mbwette wakati wa mahafali hayo.

Abdallah Majura baada ya kupata shahada yake

DC wa Nyamagana ambaye pia ni Kada wa CCM, Baraka Konisaga akisubiri kutunukiwa shahada yake

Devota Jobu na Lucy Makoye wakionyesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kutunukiwa shahada ya mawasiliano ya umma

Mwandishi wa habari ambaye anakaribia kuwa mkongwe, Tamali Vullu akiwa na rafiki yake ambaye wametunukiwa wote shahada ya mawasilino ya umma

Hurbert Matau kutoka Vdacom Tanzania (kushoto) akiwa na wenzake kwenye mahafali hayo. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
0 comments:
Post a Comment