SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, October 13, 2013

SHEREHE ZA EID LEICESTER U

<
Assalaamu Alaykum,
Wapenzi Waislamu wa mji wa Leicester na vitongoji vyake, kwa mara nyingine  JUMUIA YA ANNOOR LEICESTER ina furaha kukualikeni katika
Sherehe za Eid ul Adh-ha hapo JUMANNE 15 Oktoba 2013
Ambazo kwa mara ya kwanza katika historia zitafanyika katika jengo letu jipya Inshaallah.

EID TAKBEER zitaanza saa mbili na robo asubuhi (8.15am)
SALA YA EID itasaliwa saa tatu kasorobo asubuhi (8.45am)
STAFTAHI ya pamoja baada ya Sala
ANWANI: Masjid An Noor Leicester, 170a Belgrave Gate, Leicester, LE1 3XL
Tafadhali wasiliana nasi kwa mchango wako kama kawaida ya miaka yote
Asaa Kakuzi 07951 644936
Malik 07983 614261

EID MUBAARAK !! KULLU AM WA ANTUM BIKHAYR !!

0 comments:

Post a Comment