Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Daniel Ole
Njolaay kuwa balozi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi
Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Daniel Ole Njolaay baada ya kumuapisha kuwa
balozi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa
kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt. Bashir
Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar
es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Dkt. Bashir Mrindoko baada ya kumuapisha kuwa
Katibu Mkuu Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael
Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika leo
Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe
Raphael Leyani Duluti baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Chakula
na Ushirika leo Oktoba 28, 2013 Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Tamika
Mwakahesya kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wakiwa
katika picha ya pamoja na walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu
jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,
Chakula na Ushirika, Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji. toka
kulia ni Mhe Daniel Ole Njolaay aliyeapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini
nigeria akifuatiwa na Mhe Tamika Mwakahesya aliyeapishwa kuwa Katibu Mtendaji
wa Bodi ya Mishahara na Maslahi.
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment