SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 7, 2013

Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mradi wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga jana mchana. Wanne kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo,Watatu kushoto ni Mbunge wa Kisarawe Mhe.Athumani Jaffo, Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO,Mhandisi Felchesmi Mramba na kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
 Picha na mdau Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment