SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 22, 2013

MAREHEMU TIMOTHY MSHOMI AZIKWA MINNESOTA NCHINI MAREKANI

 Ndugu, jamaa na marafiki wakimpa  mkono wa pole baba wa marehemu Bariki Mshomi kwenye Ibada ya mazishi ya mwanae Timothy Mshoni siku ya Jumamosi Oct 19, 2013 Minnesota nchini Marekani.
 Wakwanza na wapili toka kulia na baba wa marehemu Baraka Mshomi akiwa na mama wa Marehemu,Bi. Anna Kasidi kwenye Ibada ya mazishi ya mpendwa mtotoo wao iliyofanyika Jumamosi Oct 19, 2013 Minnesota nchini Marekani.
 Familia ya Mshomi ikifuatilia ibada ya mazishi ya mpendwa mtoto wao Timothy Mshoni iliyofanyika Jumamosi Oct 19, 2013 Minnesota nchini Marekani.
 Bariki Mshoni na Anna Kasidi wakisikiliza neno kutoka kwa mchungaji siku ya Jumamosi Oct 19, 2013 kwenye ibada ya mazishi ya mpendwa mtoto wao Iliyofanyika Minnesota nchini Marekani.

0 comments:

Post a Comment