SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 28, 2013

AJALI MBAYA YA BASI LA ABIRIA(COASTER ) IMETOKEA MPAKANI MWA SONGWE NA MBOZI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 5 PAPO HAPO.

Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR likiobnekana muda mchache baada ya kupata ajali.
 Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR  likiwa limeharibika vibaya mara baada ya kupata ajali hiyo
 Wakazi mbalimbali wa mpakani mwa Mbozi na Songwe wakishuhudia Ajali hiyo
 Hapa Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR baada ya kupata ajali 
 Baadhi ya watu wakiangalia kama kutakuwa na watu wamebakia katika ajali hiyo 
 Usukani wa Dereva ukiwa umetoka mara baada ya ajali hiyo 
 Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR  linavyo onekana kwa mbele 
 Hivi ndivyo Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR lilivyo haribika 
 Wananchi Mbalimbali wakiwa wanashuhudia ajali hiyo na kutoa msaada 
 Mmoja ya Majeruhi baada ya kufikishwa hospitali.
 
****
 
Habari wadau wetu : Huduma ya Tone Mobile News imeanza Rasmi kama bado hauja jiunga fanya Hivyo sasa, Pata Habari za magazetini kila siku asubuhi, Pata Breaking News, Pata habari Motomoto na ifanye Dunia kuwa Kiganjani kwako. Huduma hii ni Bure na hakuna utakapokuja kulipishwa hata siku Moja. Kujiunga ni Rahisi Tuma jina na Namba yako kupitia ujumbe mfupi wa maneno kwa namba +255717130218, usisahau ku Share na wenzako, huduma ni kwa mitandao yote.

0 comments:

Post a Comment