
Mmoja
wa Waanzilishi wa Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums,Mike Mushi
akiwasilisha Mada juu ya namna ya Uendeshaji wa Mitandao ya Kijamii na
namna Mtandao wao wa Jamii Forums unavyoendeshwa wakati wa Warsha ya
Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini
uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.

Mmiliki
Mwenza kwa Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums,Maxcence Mello akifafanua
jambo juu ya namna ya Uendeshaji wa Mitandao ya Kijamii na namna
Mtandao wao wa Jamii Forums unavyoendeshwa wakati wa Warsha ya Siku
mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini
iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.

Mhadhili
wa Maswala ya Habari kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Ndg. Doto
Kuhenga akiwasilisha Mada yake ya kuhusu Mwenendo na Utaalam unaopaswa
kufuatwa na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii pindi wafikishapo habari
kwa jamii,wakati wa Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya
Kijamii (Bloggers) hapa nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es
Salaam.

Meneja
wa Viwango na Kanuni za Uandishi wa Habari kutoka Baraza la Habari
Tanzania,Mama Pili Mtambalike akiwasilisha mada yake wakati wa Warsha ya
Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa
nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA), Prof. John Nkoma akizungumza
jambo wakati wa kufunga Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao
ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es
Salaam.

Mmiliki
wa Mtandao wa Bongo Celebrity,Jeff Msangi akitoa shukrani kwa niaba ya
Waendezaji wa Mitandao ya Kijamii waliokuwepo kwenye Warsha ya Siku
mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini
uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.

Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Inocent Mungy akieleza jambo wakati wa Warsha hiyo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tech Wark,Liz Wachura akitoa Mada yake kwenye
Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers)
hapa nchini uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.

Ulifika wakati wa kupokea vyeti na aliefungua dimba hilo alikuwa ni Ankal Othman Michuzi

Adela Kavishe akipokea cheti.

Geofrey Adolf

Bernard Rwebangira

Jestina George.

Francis Dande

Kambi Mbwana

Josephat Lukaza

Henry Mdimu.

Mike Mushi.

Cathbert Kajuna

Jeff Msangi

Bashir Nkoromo

Shamim Mwasha

Mariam Ndaba

Maxcence Mello

Hugoline Martin

Mroki Mroki

Muhidin Sufiani














Boggers wakipata icha za Ukumbusho hapa.




0 comments:
Post a Comment