Rais
Dkt Jakaya Kiwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili
Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia
kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
Rais
Dkt Jakaya Kiwete akisalimiana na Mwambata mpya wa Ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani na Canada Kanali Adolph Mutta ambaye anachukua nafasi ya
Brigedia Jenarali Emamanuel Maganga ambaye amemaliza muda wake.
Rais
Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Afisa Ubalozi Emmanuel Swere kwenye
hotel ya Ritz Calton wakati alipowasili Washington, DC.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Afisa Ubalozi Catherine Kijuu.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mfanyakazi wa Ubalozi, Love Maganga
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi, Mayor Mlima
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Mariam Mkama.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Carol Mbilinyi.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakzi wa Ubalozi Rani Servin.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi, Eliud Mbowe.
Balozi
wa Heshima kutoka San Francisco California, Ahmed Issa akisalimiana na
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh aliyesimama kati ni Sherry Julian (mke wa
Ahmed Issa)
Picha ya pamoja.
Chanzo:michuzi-matukio blog
Chanzo:michuzi-matukio blog




0 comments:
Post a Comment