SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, September 19, 2013

CHADEMA: Tutapeleka Barua Umoja wa Mataifa Kupinga kitendo cha Balozi wa China kutumiwa na CCM


Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kimeamua kuandika barua kwa nchi ya China, Tanzania na Umoja wa Mataifa kupinga kitendo cha Balozi wa China kusimama jukwaani akiwa amevaa nguo za CCM na kukinadi Chama hicho kwa Wananchi wa Kishapu. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA Mh. Hezekia Wenje (Mb).

0 comments:

Post a Comment