Mmoja wa wajumbe wa bodi ya
maji iliyomaliza muda wake Aloyce Mwitagila akitoa shukrani kwa niaba ya mwenyekiti wa zamani Mwakatundu
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimkabidhi sanduku lenye vitendea kazi Mwenyekiti wa bodi hiyo Jaji Atuganile Ngwala

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimkabidhi sanduku lenye vitendea kazi makamu mwenyekiti wa bodi hiyo Msambichaka
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro
akimkabidhi sanduku lenye vitendea kazi mmoja wa wajumbe wa bodi mpya ya maji
Katibu tawala wa mkoa wa Mbeya Mariam Mtunguja.#########
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro wa pili kutoka kushoto,
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji na
usafi wa mazingira Jiji la Mbeya.
Chanzo Na Mbeya yetu




0 comments:
Post a Comment