Mkuu
wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone akifungua semina ya siku moja ya
majadiliano kwa manufaa kwa wote iliyofanyika mjini Singida.
Baadhi ya washiriki wa semina ya ‘majadiliano kwa manufaa ya wote wakifuatilia kwa makini majadiliano hayo.
Mkuu
wa mkoa wa Dodoma, Dk.Rehema Nchimbi (anayesoma kabrasha) akishiriki
semina ya majadiliano kwa manufaa ya wote iliyofanyika mjini Singida.
Aanayeangalia kamera ni kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Dodoma.
Mchungaji
wa kanisa la injili Afrika (Africa Gospel Church) mkoa wa Tabora
akiwasilisha maoni ya viongozi wa madhehebu ya dini yanayoiomba serikali
kuwashirikisha katika masuala yote ya maendeleo ya wananchi kwa madai
uwezo wa kuhamasisha wananchi wano Maoni hayo aliyatoa kwenye semina ya
siku moja ya ‘majadiliano kwa mafuaa ya wote’, aliyoandaliwa na baraza
la biashara.
(Picha zote na Nathaniel Limu).
0 comments:
Post a Comment