SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 29, 2013

MSANII WA BONGO FLAVA ALBERT MANGWEA A.K.A NGWAIR HATUNA TENA DUNIANI



Msanii wa siku nyingi wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Albert Mangwea almaarufu kama Ngwea amefariki dunia nchini Afrika Kusini. 
Msanii huyo aliyewika sana katika anga za muziki huu wa kizazi kipya ama Bongo Flava ukiwemo wimbo Gheto Langu, Kimya Kimya na nyingizo alizoshirikiana na wasanii wenzake. 
Atakumbukwa sana na makundi kadhaa ya kisanii na wapenda muziki wote wa bongo kwa ushirikiano na uwezo wake wa kuandika mistari na kuchana verse. 
Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi!
Amen.

0 comments:

Post a Comment