
Wanahabari wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Imelda Mtema (kushoto) na Musa Mateja(wa pili kushoto) wakipokea tuzo ya heshima kutoka kwa mama mzazi wa marehemu Steven Charles Kanumba, kwa mchango wao mkubwa walioutoa kwenye tasnia ya filamu hapa nchini pamoja na kumfanya marehemu ajulikane kona mbalimbali za ndani ya nchi na nje ya nchi.




0 comments:
Post a Comment