SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 5, 2013

Lissu: Usalama wa Taifa wanatengeneza Ushahidi kwa ajili ya kesi ya Lwakatare


Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA Mh.Tundu Lissu alisema wamenasa taarifa za watu wa Usalama wa Taifa wakijitahidi kuwashawishi Vijana wa CHADEMA kumsaliti Lwakatare na kutengeneza ushahidi Mahakamani. Lissu pia amesema wamenasa malipo ya M-PESA toka kwa Mwigulu kwenda kwa Ludovick.

0 comments:

Post a Comment