Siku moja baada ya kituo cha ITV kuonesha mzozo uliosababisha askari wa usalama barabarani kuwa katika wakati mgumu kutokana na kukunjwa na raia wakati akiamua ugomvi baina ya madereva wawili baada ya kutokea ajali jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limelaani na kutoa onyo kali na kuongeza kuwa tukio hilo limelidhalilisha jeshi la polisi na kwamba halivumiliki.
Thursday, April 25, 2013
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Kipolisi Limelaani Tukio La Kukunjwa Kwa Askari Na Raia
Siku moja baada ya kituo cha ITV kuonesha mzozo uliosababisha askari wa usalama barabarani kuwa katika wakati mgumu kutokana na kukunjwa na raia wakati akiamua ugomvi baina ya madereva wawili baada ya kutokea ajali jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limelaani na kutoa onyo kali na kuongeza kuwa tukio hilo limelidhalilisha jeshi la polisi na kwamba halivumiliki.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Thursday, April 25, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment