SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 23, 2013

KIJANA AKUTWA AMEJINYONGA JIJINI MBEYA

Mwili wa kijana Ally Msoke ambaye ni mkazi wa Mafiati mtaa wa Maanga jijini Mbeya ukining'inia baada ya kujinyonga nyumbani kwake. Sababu za kujinyonga kwa kijana huyo bado hazijajulikana mpaka sasa.
Mwili wa Ally Msoke baada ya kutolewa kwenye kamba.
Wananchi wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba ya Ally.
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

0 comments:

Post a Comment